Taifa YANGA alifanikiwa kumchapa SIMBA mabao 2 wakati simba wakishindwa kuonyesha makali
yao wakiambulia patupu


Bao la kwanza lilifungwa na Amiisi Tambwe katika dakika ya 44 kipind cha kwanza na kupelekea ushundi
ulioenda kutimia wakati wa kipindi cha pili baada ya mchezaji Mallimu Bussungu mnamo dakika ya 79 Simba walishindwa kuchomoa mabao hayo mpaka dakika ya mwisho ya mchezo na kukubali kuwapa Yanga ushindi wao
VIDEO YA MASHABIKI WAKISHANGILIA KWA MBWEMBWE ZOTEE KABLA MECHI HAIJA ANZA
